Blogger Widgets

October 10, 2013

Alichosema #Diamond Platnum Wakiwa na Wema Sepetu Huku Malaysia na Kuongeza Picha Nyingine akiwa na Wema Sepetu

wemond 
So baada ya picha kusambaa kwenye internet zikimuonyesha Diamond na Wema Sepetu wakiwa pamoja na stori nyingine zikisema wamerudiana, Diamond amepost hii picha na kuandika..
Diamond

 
Diamond alikanusha taarifa za kurudiana na Wema kisha akaongezea kwamba kuachana na mtu mapenzini haimaanishi ndio uadui umeanza…