Blogger Widgets

November 2, 2013

Haya Ni Moja Ya Mazoezi ya Wastara Sajuki ya Kupunguza Uzito

Actress maarufu nchini Wastara Juma Sajuki ameamua kuanza kupunguza uzito baada ya kurudi kwa kasi kwenye filamu kama mwanzo. Wastara amesema kuwa ameongezeka uzito wa kilo saba hivyo hakuwa na namna ila kufanya mazoezi kama anavyoonekana hapo picha chini. Muigizaji huyo anatarajia kulishika soko la filamu na filamu yake mpya ya Shaymaa muda si mrefu akiwa na Salma Jabu Nisha na Yusuph Mlela. Angalia picha akifanya mazoezi...............