Blogger Widgets

November 10, 2013

Tazama Interview ya Mwana Fa Huko Marekani

Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya Bongo Falava, Mwana FA akipata picha ya pamoja na NY Ebra wakati alipokua akimfanyia mahojiano ya longa na Vijimambo yatakayokuwa hewani Novemba 18, 2013 mahojiano hayo yalifanyika siku ya Ijumaa Novemba 8, 2013 huko Indian Orchard, Massachusetts nyumbani kwa Dj Rich Maka ambaye ndiye mwenyeji wa Mwana FA.
 Kutoka kushoto ni Mwana FA, Dj Rich Maka, Daudi na Benzino katika picha ya pamoja
 Mdau wa New York Akida akipata picha ya pamoja na Mwana FA