Blogger Widgets

December 18, 2013

Tazama Jibu alilojibu Miss Tanzania Baada Ya Kuambiwa Kwamba Hajui Kuzungumza Kiswahili

ALICHOSEMA MISS TANZANIA 2012 BAADA YA KUAMBIWA ETI HAJUI KUONGEA KISWAHILI 
Miss Tanzania 2012 -2013 “Brigitte Alfred alijaribu kujitetea baada ya kulalamikiwa na mbunge Bi. Rukia kwa madai eti hafai kutuwakilisha Watanzania kisa Miss huyo kuongea kiswahili hawezi.
Maneno hayo hayakumfurahisha Miss Brigitte Alfred na kuamua kwenda kwenye mtandao wake wa Instagram na kusema 


“Meanwhile as our county suffers from 3rd world problems this is what is being discussed bungeni 
Brigitte
-babukubwa