Blogger Widgets

December 19, 2013

Tazama Picha Jinsi Mashiki wa Yanga walivyoshinda Airport Kumpokea OKWI Badala yake akatua BEKI WA SIMBA GILBERT KAZE


MASHABIKI kadhaa wa Yanga leo wameshinda Uwanja wa Ndege wakisubiri kumpokea Emanuel Okwi lakini hakutokea badala yake walijikuta wakimpokea beki wa Simba Gibert Kaze.
Mashabiki hao walifika uwanjani hpo wakiwa na jezi iliyoandikwa jina la Okwi kwa ajili ya kumkabidhi lakini waliishia kuikunja na kurudi nayo baada ya mchezaji huyo kutokufika.