Jicho la Godzilla limevutiwa na uzuri wa mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda, Zari Hassan aka The Boss Lady.
Kwa mujibu wa Zizi, hakuna mrembo anayejiita boss lady anayeweza
kuufikia uzuri wa Zari. “Sawa bossladys wengine wakali n berah brah
lakini Zaribosslady from UG nimeshusha mikono ……#no1 ..nuffin more
nuffin less,” alitweet rapper huyo.
Zari anafahamika kwa kuwa na maisha ya kifahari na ndiye mwanamke
Afrika Mashariki anayemiliki magari yenye thamani kubwa zaidi. Kwa wale
wasiomfahamu vizuri Zari, picha hizo chini zinaweza kuwapa jibu la
kwanini Godzilla amemkubali.
No comments:
Post a Comment