Blogger Widgets

December 11, 2013

Ushahidi wa Picha:Tazama Jinsi Mikutano ya Dr. Slaa navyokokosa Watu na Kuhudhuliwa na watu wasiozidi 200. 
Taswira mbalimbali za mkutano wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa alioufanya jimboni kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe jimboni Kigoma Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na kujikuta peke yake kama picha zinavyojionyesha.
Pia amepatwa na fedhea baada ya kudanganywa kuwa kunamkutano kata ya KIDAHWE,Licha ya fedha ya maandalizi ya Mkutano zaidi ya laki tano.lakini Slaa alifika eneo la mkutano na kukuta hakuna kitu,fedha zimeliwa na wannachi wapo bize na kazi za maendeleo.Akina Pera walipofika na gari yaa M4C waliishia kupigiana simu kuulizana kulikoni.Pole sana Slaa kwa dhahama unayoendelea kukutana nayo.

KUTOKA POLICCM HADI POLISCHADEMA HAPA CHINI LEO KIGOMA

Watanzania naomba pia tujifunze huu Unafiki wa Slaa,Huyu ndiye anakimbia kwenye MEDIA na kuhema hana imani na Jeshi la Polisi,hataki kulindwa na Jeshi la Polisi eti Nguvu ya Umma inamlinda,Huyu Slaa ndiye anasema Polisi wa Tanzania wanafanya kazi ya CCM,Hizi Picha ni ushahidi tosha kuwa NJIA YA MNAFIKI NI FUPI SANA,LEO ANAWAPIGIA MAGOTI polisi wamsaidie asipate kipigo kutoka kwa Nguvu ya Umma aliyokuwa anasema inamlinda.Hongereni sana JESHI la Polisi kwa Kutekeleza majukumu yenu bila kujali CHAMA,Hawa wanasiasa wanatukana mamba wakati hawajavuka Mto
credit to Jamiiforum/Jukwaa la siasa