Blogger Widgets

January 2, 2014

Tazama Picha Zikionesha Jinsi Msanii Madee Alivyomakabidhi Gari Manager Wake Babu Talw Kwenye Birthday Yake

IMG-20140102-WA0009  
Meneja kutoka Kundi la Tip Top Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa,katika vitu ambavyo havikutegemewa kuwepo ni zawadi ya Madee anbayo iliwashangaza watu wengi. IMG-20140102-WA0005  
Star wa huyu wa singo mpya ya tema mate tuwachape  aliamua kumzawadia gari mpya Meneja wake wa muda mrefu gari aina ya BB NEW MODEL,kwenye sherehe hizo pia zilihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Amini,Ditto,Keisha,meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family Said Fela na watu wengine wengi. Hizi ni picha mbalimbali kwenye birthday hiyo.
IMG-20140102-WA0017 IMG-20140102-WA0016 IMG-20140102-WA0013 IMG-20140102-WA0011 IMG-20140102-WA0006 IMG-20140102-WA0003 IMG-20140102-WA0008 IMG-20140102-WA0000 IMG-20140102-WA0002