Blogger Widgets

February 8, 2014

Kama Ulikuwa Hujui Hii Ndio Alama ya "USHAHARIBU" aliyoiintroduce Msanii Snula..Watazame Hawa Masaa wakiwa kwenye Pozi za Umeharibu

 Akiongea na blog hii hit maker wa wimbo wa majanga Snura Mushi amesema style yake mpya ya ya ushaharibu... imeshakuwa gumzo mtaani na kila siku anatumiwa picha za watu mbalimbali wakiweka ishara ya ushaharibu wakiwemo mastar wakubwa wamuziki watanzania...imefikia wakati akiweka tu picha yenye ishara hiyo basi msg zinakuja za neno la ushaharibu.... ushaharibu ni wimbo mpya wa msanii Snura Mushi ambao unategemea kutoka mwanzoni mwa mwezi watatu... wimbo huo ameurecord katika studio za CHAIDERS REC chini ya producer mahili Abby dady...Snura amesema wimbo huo amewazungumzia watu wenye tabia za kuiangalia leo na kudhalau kesho.....
 Linex
 Zimwi
 
 Amisou
 Mapacha#team majanga
 Snura na LIDYA
 Davina
 ZUHURA,CUTESHUU
 Zuu Kamiligado.
 Kala jeremiah
 dvj ommy crayze
rich mavoco..
Dj choka
                                                                                izo bizness