Blogger Widgets

June 2, 2014

Tazama Jinsi Nicki Minaj alivyotokea akiwa na kinguo kinachoonyesha maziwa yake, Rihanna akasirishwa na perfomance yake

 Hajawahi kuwa mmoja wa wanaoficha maungo yao kwa nguo  kubwa lakini alichovaa siku ya jana ilikuwa ni hataru tupu.

Siku ya jumapili kwenye Summer Jam Hip Hop na R&B, Nicki Minaj alionekana akiwa amevaa ki top cha silver chenye  kuonyesha maziwa yake kikiwa kimezibwa na alama ya nyota kwenye nipples zake.

Mambo yalizidi kuwaka moto zaidi pale Nicki Minaj alipomrukia Drake kwenye stage na kuzungusha miguu yake kwenye kiuno cha Drake na kumuwekea mikono mabegani  na Drake nae kuzungusha mkono wake kwenye kiuno cha Nicki,
 kitu ambacho hakikumfurahisha Rihanna ambae alionekana kuweka sura ya mbuzi alipokuwa akitazama waliyokuwa wanayafanya stajini.
Rihanna na Drake kwa sasa wameachana aada ya kurudiana mda si mrefu tanguwalipoaznza kudate mwaka 2009 baada yakupokea kipigo kutoka kwa Chris Brown.