Blogger Widgets

July 8, 2012

DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOLIPAMBA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI






Diamond Platinumz na vijana wake wakishusha burudani kwa mashabiki.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' usiku wa kuamkia leo alilipamba vilivyo Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jiji hilo. Msanii huyo ndiye aliyefunga ratiba ya burudani katika tamasha hilo kwa kuzikonga vilivyo nyonyo za mashabiki wake waliokuwa wamefurika nadani ya Uwanjani wa Taifa.

No comments:

Post a Comment