Blogger Widgets

May 3, 2013

Diamond Ajaribu Kujitetea Baada ya Kuchapia Kingereza Kupitia Kwenye Mtandao wa Instagram



Wabongo kwa kukosoa hawajambo.. Katika pitapita yangu instagram kuna picha mkali Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea. JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini watu walivyokua wakicomment