Manager wa Manchester United
Alex Ferguson ametangaza rasmi kwamba anamuhitaji mchezaji wa Arsenal
Robin Van Persie kwenye kikosi chake.
Sir Fergie ameamplfy kwamba
japo mkali huyu wa soka anatakwa na club nyingine ikiwemo Manchester
City na Juventus, ni wazi kabisa Manchester nayo inamtaka baada ya
kusema hatoongeza mkataba wake na Arsenal unaokaribia kuisha.
Robin Van Persie ambae ana
miaka 28 toka apewe ruhusa ya kuishi kwenye hii dunia ameichezea Arsenal
toka mwaka 2004 na mpaka sasa kaifungia magoli 96 na kwenye timu zake
za taifa (Netherlands) amezifungia magoli 30 toka aanze kucheza nazo
mwaka 2001.
No comments:
Post a Comment