Blogger Widgets

April 3, 2013

Picha za Uzinduzi wa Kampuni ya Jay Z' Roc Nation Sports Management Agency"

 
Rapper mkali kutoka Brooklyn, New York... Shawn "Jay-Z" Carter amefungua kampuni itayojishughulisha na uangalizi wa wanamichezo inayojulikana kama Roc Nation Sports Management Agency ...
Jay amefungua kampuni hiyo na kuendelea kujitanua zaidi kibiashara huku akiiongoza yeye mwenyewe kwa ushiriano na Juan Perez kama rais wa kampuni hiyo na tayari wameshampa deal mmoja wa wachezaji wakubwa wa baseball nchini marekani, Robinson Cano [New York Yankees] ...
Jay-Z anasema amekuwa na mapenzi na michezo hivyo imekuwa ni kama kawaida kufungua kampuni ya uwakala ambayo itawasaidia wanamichezo wa aina zote katika michezo tofauti kama anavyowasaidia wasanii wa muziki kwa miaka mingi sasa ...
Jay-Z ameshawasaidia na kuendelea kuwasaidia wasanii wakubwa duniani kama J. Cole, Rihanna, Shakira na wengineo kupitia kampuni yake ya ROC NATION. and now the brother has turned up to SPORTS MANAGEMENT ... Big Up !!
Here below ni picha inayomuonesha Jay-Z akim-sign Cano Robinson: