Blogger Widgets

October 27, 2012

Exclusive:Hiki Ndio alichojibu Madee Baada ya Kuongea na FOL CLASSIC Kuhusu Habari za Yeye Kujitoa Tip Top.

 
Baada ya Fol Classic kupata simu Nyingi kuhusu swala la Msanii wa Tip Top Connection and Big Presdent wa Manzese Hapa namzumgumzia Madeee kw atuhuma za yeye Kujitoa Tip Top Connection.Interview ilikuwa Hivi."Nanukuu"

FOL: Hellooow

MADEE: Hellow mambo Vipi?

FOL: Shwali ni ajeee Madee?

MADEE: Fresh nani mwenzangu?

FOL: Unaongea na Administrator wa folclassic.blogspot.com

MADEE: Okey Niambie

FOL: Madee Tulipata Habari Kwamba wewe Umejitoa Kwenye Kundi la TipTop Connection ndani ya Manzese and Tumekutafuta toka jana   naona Hukupatikana vipi Hizi ni Habari za Kweli?


MADEE: Hapana mimi sijajitoa Tip Top Hata mimi nilivyozipata Hizi Habari nilishangaa sana na nimetoka kuhojiwa sasa Hivi na kItuo fulani  kuhusu hii Taarifa na Sijui Zimetoka wapi.

FOL: Lakini Habari Hizi zinasemekana kwamba zimetoka kutoka kwa Mtu wako wa Karibu!!

MADEE: Me Mtu wangu wa Karibu na Baab Talle sasa Mtu wangu wa Karibu wanaomzungumzia ni nani?

FOL: Na Inasemakana kwamba Baab Talle Dizain kama kama anakuziba Mdomo kwamba Usiseme chochote Kuhusu Wewe kama Umejitoa au Haujajitoa ili myamalize wenyewe!

MADEE: Hamna kitu kama Hicho Bwana kama Kusema ningesema me mwenyewe

FOL: Poa Madee  One Love! Tutatafutana siku nyingine

MADEE: Poa FOL CLASSIC Pamoja

So kutokana na Interview niliyofanya na e Madeee NI KWAMBA MADEEE HAJAJITOA KUTOKA KWENYE KUNDI LAKE LA TIP TOP CONNECTION,hii ni kwa mujibu wake mwenyewe ambapo nimeongea anae

No comments:

Post a Comment