Blogger Widgets

November 7, 2012

Hii ndio ajari ya Kusikitisha Iliyotokea mbeya kati kati ya Gari na Boda Boda iliyosababisha Boda Boda Kuwaka moto

Pikipiki ya abilia zijulikanazo kama bodaboda ikiteketea kwa moto baada ya kugongwa na gari aina ya Isuzu tiper mari ya RRM ambayo imemekimbizwa eneo la tukio gari hiyo iliyozingonga bodaboda na gari aina ya toyota harrier 

Bodaboda ikiendelea kuteketea kwa moto

Wasamaria wema wakimsaidia dereva wa bodaboda kumvua baadhi ya nguo maana pia yeye alianza kuwaka moto

Dereva bodaboda akisubiri gari ya kumpeleka katika hospitali ya rufaa jijini Mbeya

Tayari dereva bodaboda amepata msaada wa gari kukimbizwa hospitalini

kikosi cha zimamoto kikiwa kimefika eneo la tukio



mmiliki wa gari ya aina ya toyota harrier  amejlikana kwa jina moja tu Luvanda akitolewa katika gari yake 

Hapa bwana Luvanda akipiga simu kwa ndugu na jamaa kuwajulisha ajali iliyompata



Pikipiki hiyo kikizimwa na kikosi cha zimamoto mbeya