



Biashara  ya ngono  imezidi kushamiri  kila kukicha  hapa  nchini.....
Pamoja na jitihada zote za serikali kuwatia  mbaroni makahabao  lakini bado  biashara hiyo  haramu inazidi  kuota mizizi......
Biashara hiyo haramu hufanywa nyakati za usiku na mchana kulingana na mazingira.
Mazingira ambamo  biashara hiyo haramu  hufanyika yanatia  Aibu.......
Wapo ambao  hufanyia GEST HOUSE, VICHAKANI, VICHOCHORONI, KWENYE  TAX  NA  MAGARI MENGINE  NA WENGINE  KWA  WALINZI  MAARUFU KAMA  KWA  "BABU"........
Pamoja  na  kuyabaini  mazingira  ambamo  uchafu huo htendeka, mtandao huu umefanikiwa kuzipata  bei  zao kama  ifuatavyo:
1.KWENYE GARI-----------TSH. 20,000
2. KWA BABU.......................TSH. 15,000
3.GESTI----------------------TSH. 25,000
4. VICHOCHORONI--------TSH. 10,000
5. SHOTI TIME--------------TSH. 15,000
6.KULALA  MPAKA  ASUBUHI-----TSH.50,000
-----------------------------------------------------------------
Jamani tusiiachie  serikali  peke  yake.Tushirikiane kuikomesha biashara  hii  haramu...........
 
 
 
 
