Blogger Widgets

November 22, 2012

Mwanamke amsimamisha mumewe barabarani akiwa uchi baada ya kumfumania mumewe akifanya mapenzi na mpenzi wake mwingine ndani ya Gari.Kama inavyoonekana kwenye Picture


 
Mwanamke mmoja ambae jina lake halikuweza kufahamika maramoja aliamua kumpa adhabu mumewe kwa kumuamuru atembee uchi wa mnyama baada ya kumfumania na mwanamke mwingine aliyekuwa akifanya nae mapenzi ndani ya gari, baada ya kuwafuma mwanamke huyo mbabe aliamua kudiriki na kile kinacho muhusu nikimaanisha mme wake kwa kumtoa ndani ya gari hilo na kumwambia atembee uchi kutoka eneo la tukio mpaka nyumbani na kuamua kumwachia huru mwanamke aliyemfumania nae.

Inadaiwa kuwa mwanaume huyo ni mtu ambae hana kazi kwa muda mrefu na mwanamke huyo ndio alikuwa akimtunza na kumuhudumia kila kitu.swali ni je mwanamke huyo alikuwa na haki ya kumtembeza mme wake uchi tena hadharani ? Unamaoni gani kuhusu hili swala na kama unge kuwa ndio wewe ungefanyaje?