

hivi wale wenye midomo kama
wanakimbiza firimbi za city hamchoki ku comment matusi/vibaya humu, kila
siku mnajifanya mnawajua watu sana,, tunaomba picha zenu na nyie
tuwaone msonyooooo,,,,.
yaani ustaarabu ni kitu cha bure kosoa panapostahili sio kukosoa ilimradi comment yako ionekane.
yaani kiboko yenu ni mimi mnaongea
ndo kwanza naanza yaani mkae mkijua tena nawapasha mpashe mpashike na
heshima muweke msijisumbue kunisema maana haitasaidia ninachowambia,,
I’m sorry if you don’t like me ,but the truth is i don’t plan on
changing for anybody
so jipange
Lope Lope of all trades
Sintalicious
Mrs Christine JM
Unstoppable
Nothing but confidence
Jeshi la mtu mmoja
Mtambo wa kurekebisha tabia za waliolala na wasiojielewa
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
Sintah
mengine malizia nawatakia Alhamisi njema wale mnaojielewa wale wasiojielewa endeleeni kutukana labda kipaji.