Blogger Widgets

June 10, 2013

Picha zikionesha Jinsi TUNDULISU Akichoma Kadi za CCM zilizorudishwa na Wananchi waliokuwa Kwenye Chama HichoBaada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.