Kweli kabisa mzee mwenzangu unamkubalia mkeo akafanyishwe mazoezi kama
haya?! Tena na kidume? Kibongo bongo patachimbika ila wenzetu kwao ni
mambo ya kawaida, tunaona njemba ndo kocha wa mazoezi katika Gym moja
huko ulaya na anawapinda kweli kweli wanafunzi wake.