Blogger Widgets

January 7, 2013

Huyu Ndio Raia wa Nigeria aliekutwa akimzika Mwanae Mchanga akiwa Hai Kisa Utajiri

Katika haraati za kujitafutia utajiri, Njemba moja nchini Nigeria imemuua na kumfukia mtoto wake wa miezi minne kwa kile kinachodaiwa kujitafutia utajiri. Tukio hilo la kinyama limefanyika katika Mkesha wa mwaka mpya mpya. Hata hivyo siku chache zilizofuata kioja cha njemba hiyo kiligunduliwa na sasa yupo mikononi mwa vyombo vya dola.