Blogger Widgets

February 9, 2013

Diamond afunguka Juu ya Huyu Mtoto wa Kike Through Facebook


IMG_0030

Siku za hivi karibuni kumekuwepo na ‘speculation’ kuhusu kama Diamond Platnumz na mtangazaji wa DTV VJ Penny ni wapenzi baada ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii inayowaonesha wakiwa pamoja kitandani.
Jana Diamond alithibitisha rasmi kuwa kwa sasa anadate na mrembo huyo kwa kupost picha ya Penny (hiyo chini) kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: #MaBabyMama #De’MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YoungPrezident…..

Katika kile kinachoonekana kuwa Penny na mama yake Diamond zinaiva, hivi karibuni walipiga picha ya pamoja walipomsindikiza Diamond kwenye show ya Kigamboni.

Mama yake Diamond (katikati), Penny kulia na rafiki wa Diamond
                      Mama yake Diamond (katikati), Penny kulia na rafiki wa Diamond
Diamond (katikati) akiwa na Penny (wa tatu kutoka kushoto) na washkaji            Diamond (katikati) akiwa na Penny (wa tatu kutoka kushoto) na washkaji