Blogger Widgets

March 7, 2013

Amanda Posh Yule Mtoto ,Mlito wa Bongo Movie Aja Kwa Style Mpya kwa Upange wa Facebook

                                                  Amanda Poshy ndani ya mapozi.
MSANII mwenye jina kubwa katika tasnia ya filamu, Amanda Poshy amefungua page ya mashabiki wake facebook na kuitambulisha ndani ya account yake ya facebook siku ya jana.

Ni baada ya wadau wake wa karibu kumshauri kufungua page hiyo  kwa manufa ya kazi zake kujitangaza zaidi ndani ya Tanzania na Mataifa mengine.


 
Chanzo chetu kiliongea nae na akasema kuwa "Amanda Poshy Fanpage" ni page yangu-Official katika Facebook kwa ajili yenu fan wangu wote...Fuata link hii kulike page yangu Amanda Poshy Fanpage www.facebook.com/pages/Amanda-Poshy-Fanpage/151837391643003