Blogger Widgets

April 18, 2013

Mrembo Flaviani Matata Kapewa Masifa Kibao New York Kupitia Mtandao Huu wa Marekani

.
.
Global Grind (globalgrind.com) ni moja ya tovuti za Marekani zenye wingi wa watu na zilizo na uhodari wa kupasha watu habari ambapo time hii Mwanamitindo Mtanzania Flaviana Matata anaefanya kazi na kuishi New York amechukua nafasi kubwa kwenye headlines kama unavyoona hapa.
.
.
.
.
.
.
.
.
.   
From: williammalecela