Blogger Widgets

June 8, 2013

Check Picha 90 za Birthday Kubwa Kabisa Ya Vanesaa Mdee a.k.a V-MONEY


Mtangazaji wa MTV Base na Choice FM na muimbaji Vanessa Mdee jana aliangusha party ya nguvu kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya kutumiza umri wa miaka 25. Sherehe hiyo ilifanyika jana usiku kwenye kiota kipya cha starehe jijini Dar es Salaam kinachotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni cha Escape One.
IMG_2397
Vanessa akitoast na washkaji

Jumla ya wageni 100 walialikwa kwenye party hiyo ambayo pamoja na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Vanessa aliitumia kujipongeza kwa kutajwa kuwania kwenye tuzo za Kili mwaka huu zitakazofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Miongoni mwa wageni walioalikwa kwenye party hiyo ni pamoja na wasanii na watu mashuhuri nchini wakiwemo Izzo B, Weusi, Mwana FA, AY, Shaa, Master Jay, Salama Jabir, Marco Chali, Quick Rocka, Lina, Ommy Dimpoz na wengine. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linah, Izzo B, Shaa, Ommy Dimpoz, G-Nako, The Trio na yeye mwenyewe Vanessa.
IMG_2400
Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji

IMG_2402
IMG_2403
IMG_2389
IMG_2406
Mima

IMG_2410
IMG_2412
IMG_2416
IMG_2420
IMG_2421
IMG_2425
Mtangazaji wa Clouds FM, DeeAndy akiwa na mmoja wa wafanyakazi wa Choice FM

IMG_2427
IMG_2434

B12 akiwa na Maribeth aka Lady Haha

IMG_2435
Mtangazaji wa Power Breakfast ya Clouds FM, Barbara Hassan akiwa na Sister Dread wa Choice FM

IMG_2440
Shaa
IMG_2453
Vanessa Mdee akijianda kupop champagne

IMG_2460
IMG_2462
Vee akiongea machache

IMG_2463
IMG_2472
IMG_2483
DeeAndy

IMG_2485
Producer wa show ya Vanessa Mdee, The Hit List ya Choice

IMG_2490
Millard Ayo

IMG_2495
IMG_2496
Mtu na dada yake

IMG_2503
B12 na Quick Rocka

IMG_2504
Izzo B

IMG_2506
IMG_2510
Izzo B, Mima, B12 na Quick aka Switcher

IMG_2513
Weusi, G Nako na Joh Makini

IMG_2515
IMG_2520
B12 na Vanessa

IMG_2523
B12 na Abby

IMG_2525
IMG_2526

IMG_2527
Izzo akimpa shout out birthday girl, Vee

IMG_2534
IMG_2537
ML Chris wa Choice

IMG_2542
IMG_2545
IMG_2580
IMG_2582
Vanessa akikata keki

IMG_2585
IMG_2587
IMG_2591
IMG_2595
IMG_2601
IMG_2606
Vanessa akiwa na Seven

IMG_2611
IMG_2620
IMG_2624
Linah akiwa na The Trio

IMG_2629
Avid(katikati) akiwa na designer Sheria Ngowi (kulia) na marketing manager wa brand yake, Deo

IMG_2634
IMG_2637
IMG_2641
IMG_2642
IMG_2647
IMG_2651
IMG_2657
Izzo akifurahia na producer na bosi wake, Master Jay

IMG_2658
IMG_2665
Deddy akiwa na Angel

IMG_2673
IMG_2678
Kibonde, rafiki, Seven na Evans Bukuku

IMG_2692
Osse Sinare na Pedaiah

IMG_2731
IMG_2740
IMG_2787
Crew ya Choice FM kwenye picha ya pamoja

IMG_2793
Vee akiwa na Marco Chali

IMG_2804
Izzo B akitumbuiza

IMG_2817
Michael Mlingwa aka MX naye alikuwa akisherehekea siku ya kuzaliwa na hapa alikuwa amemwagiwa maji na pombe za kutosha

IMG_2818
IMG_2822
Mwana FA

IMG_2827
Akbar Thabeet

IMG_2833
Ommy Dimpoz akiimba Me and You

IMG_2839
IMG_2848
IMG_2856
IMG_2861
Angel akiimba na Ommy Dimpoz

IMG_2868
Sade

IMG_2874
Abby akiwa na Mad Ice

From:Bongo5

No comments:

Post a Comment