Blogger Widgets

May 19, 2013

Baada Ya Asubuhi Kuwapa Video ya Show ya Diamond na Ney:Sasa CheckBaadhi ya Picha Diamond Platnum na Ney wakiwa BackStage Mpaka Stejini Kuperform Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinum pamoja na Ney wa Mitego wakiwa kwenye picha ya npamoja kabla ya kupandaa jukwaani jana Usiku


 Ney wa Mitego akiwa amevaa viatu vya tofauti katika shoo ya Muziki Gani iliyofanyika jana hali hii ya kuvaa viatu tofauti ndiyo ilimtofautisha na kumuongezea mashabiki jana katika shoo hiyo ambapo kila mmoja alionekana kutaka kufahamu ni kwa nini amevaa viatu vya tofauti
 Ney wa Mitego akiimba pamoja na mashabiki wake


 Wacheza Shoo wa mwanamuziki Diamond Platinum wakitumbuiza katika shoo ya uzinduzi wa video ya Muziki GaniWasanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa Mitego (kushoto) pamoja na Diamond Platinum wakiimba nyimbo yao inayojulikana kwa jina la Muziki Gani jana usiku katika uwanja wa Dar Live jijini Dar es Salaam
From:Pro24