Blogger Widgets

May 20, 2013

Baadhi ya Picha Zikimuonesha Drake Kwenye Movie ya Comedy Akiact Enzi za Miaka 70 na Wigi Lake Kichwani.

Kama umeshawahi kuona picha za watu wa miaka ya 70, walikuwa na style yao ya uvaaji ambayo ni pamoja na mawigi makubwa. Kwa sasa wapo watu ambao huvaa hivyo kama fashion tu.
drake 70-3
Rapper kutoka Canada Drake ataonekana katika movie ya comedy inayoitwa Anchorman 2 huku akiwa amepiga mavazi pamoja na wigi kubwa style zilizokuwa zikitumika miaka ya 70.
Comedy film ya Anchorman 2 inategemewa kutoka December 20, 2013
drake 70 new

drake 70-2

From:Bongo5