Blogger Widgets

May 17, 2013

Hii Hatari:Soma Sababu Tatu Aalizotoa TID Kwamba na Yeyey Hatopiga Show ya Lady Jay Dee na Kajitoa


401187_10150536949328749_793704636_n
 Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.
Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Three reason why i can’t do lady JIDE SHOW ………….No.1 I have better contract pays me better than.No.2 I really don’t want to be between anybody’s conflict ya kwangu yananishinda naona nieupushe shari…No.3 nataka kuoa muda wangu ndo huu ……………kama nimekukosea captein na madame kazeni but I have been thru same shit.”

Tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiza kwenye show hiyo.