Blogger Widgets

May 27, 2013

Icheck Sasa Ile Video ya Tukio la Ajabu la Mwanamke alimuua Mume Kwa Maji Ya Moto


Mwanamume mmoja mjini mombasa amefariki kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na mgogoro wa kinyumbani kati yake na mkewe.
Inadaiwa marehemu alimwagiwa maji moto na mkewe siku chache zilizopita hali ambayo imepelekea kifo chake.
 Ilibidi polisi kuingilia kati kumnusuru mama huyo dhidi ya hasira za umati uliotaka kumshambulia na  kumuua..