Blogger Widgets

May 29, 2013

Kwa Taarifa Zilizotufikia Muda Huu ni Kwamba M to The P nae Afariki Dunia Huko South Afrika Baada ya Kuzidiwa sana

Taarifa kutoka vyanzo mbali mbali zinasema kuwa M TO THE P ambae walikuwa pamoja na Ngwair South Africa na walipelekwa wote hospitali ya ST. Hellen huku yeye akiwa bado ana hema, leo asubuhi taarifa zinasema nae amefariki.



You might also like:

No comments:

Post a Comment