Blogger Widgets

May 2, 2013

Pitia Hizi Commet za Watu Mbalimbali Naada ya Jana Kuandika Ujumbe Mzito Kuhusu Clouds Fm.JOTO HASIRA

Anonymous Anonymous said...
ama kweli dunia hadaa,Muombe Mungu na mtegemee daima,,,atakushindia,,,
May 1, 2013 at 2:31 PM
Anonymous Anonymous said...
Pole sana dada yangu mwenyezi mungu atakusimamia na yote aya yatakwisha tu 
May 1, 2013 at 2:32 PM
Anonymous Anonymous said...
YAANA HAPA KIKUBWA NI KWAMBA WEWE UNAMTEGEMEA MUNGU BASI JUA TAYARI UMESHINDA HIVYO VITA....TUKO PAMOJA NA WEWE KATIKA KUKUSUPORT NA KUKUOMBEA MUNGU KUKUEPUSHA NA KILA BALAA..............ILE RADIO HAINA MAANA KABSAA WASANII WENGI WANANYONYWA NA WALE JAMAA ILA KWA VILE HAWANA PAKUKIMBILIA NDO MANA WANAKUWA MANDONDOCHA...KWENLI WEWE COMMANDO, KWELI WEWE ANACONDA.....MUNGU ATAWALIPA KWANI MUNGU HAWAFICHI MADHALIMU
May 1, 2013 at 2:37 PM
Anonymous Anonymous said...
Nimesikitishwa sana na nilichokisoma hapa, watu wengi binadamu wachache sana....jamaa mbona nilidhani ni watu wa maana sana? kumbe wanaroho ya ajabu kiasi hiki? dada najua umepitia wakati mgumu sana na wewe ni wakwanza kukusikia katika maisha yangu ukitamka hivi hadharani nadhani unamaanisha na hawatakitumi kifo chako kama sehemu ya kuingizia kipato maana wakati mwinge hufanya hivyo. KAMA WANAAKILI THEY HAVE TO APOLOGIZE VERY SOON, NA HILI LITAWABOMOA HASWAAAAAAAAAAAA, KAMA MIMI KIUKWELI MOYO WANGU KWA HIYO RADIO HAUPO TENA, NI HAYO TU.
May 1, 2013 at 2:38 PM
Anonymous Anonymous said...
Nimesikitishwa sana na nilichokisoma hapa, watu wengi binadamu wachache sana....jamaa mbona nilidhani ni watu wa maana sana? kumbe wanaroho ya ajabu kiasi hiki? dada najua umepitia wakati mgumu sana na wewe ni wakwanza kukusikia katika maisha yangu ukitamka hivi hadharani nadhani unamaanisha na hawatakitumi kifo chako kama sehemu ya kuingizia kipato maana wakati mwinge hufanya hivyo. KAMA WANAAKILI THEY HAVE TO APOLOGIZE VERY SOON, NA HILI LITAWABOMOA HASWAAAAAAAAAAAA, KAMA MIMI KIUKWELI MOYO WANGU KWA HIYO RADIO HAUPO TENA, NI HAYO TU.
May 1, 2013 at 2:39 PM
Anonymous Anonymous said...
Hongera Binti Machozi kwa kuwa muwazi!! Isingependeza kama ungebaki na haya maneno bila kuyasema!! Ni makali sana ila they deserve this!
May 1, 2013 at 2:40 PM
Anonymous Anonymous said...
Csta jaydee najua ww ni mkali tuu hata kama na kwa hli mungu kishalioona na yuko nawe kuhakikisha anawadhalilisha wao na sio ww!kikubwa mtangulizee mungu naamini atakulipa dada anguu polee sanaa pia naweza sema kweli kwa sababu mara nyngi nimewaona wakijalibu kukufanyia vimbwanga juu ya nyimbo zakooo
May 1, 2013 at 2:43 PM
Anonymous Anonymous said...
Duh, nadhani ujumbe umefika kikamilifu.

Nafikiri ni jambo la busara kumwambia mtu ukweli na siyo kusemea pembeni kitu ambacho ni unafiki.

Sasa naanza kuamini; tuliyasikia kwa Sugu na sasa Jide. 

May 1, 2013 at 2:47 PM
Anonymous Suzan Humbi said...
waambie komandooo, hawajui kama talent inaletwa na Mungu na siyo wao, wasikupe pressure we ni mti wenye matunda bwana lazima upigwe mawe, utabaki kuwa komando tu na wewe hakauna kama wewe bongo hii hta wao wanajua hilo, achana naoooo kabisa
May 1, 2013 at 2:49 PM
Blogger jackyshop said...
umeeleweka dada.
all the best katika uyapangayo na Mungu akujaalie ufanikiwe.
Inshaallah utafanikiwa.

May 1, 2013 at 2:50 PM
Blogger mohamed jongo said...
Hongera kwa uvumilivu ulio kuwa nao.. Kwa hawa manyangau.. Wanao shusha muziki wa bongo... Kila la kheri.
May 1, 2013 at 2:51 PM
Anonymous Nasta boy said...
Dada kiukweli huu ni ujumbe mzito sana na utawafikia walengwa,tupo pamoja nawe katika mapambano.
May 1, 2013 at 2:59 PM
Anonymous Anonymous said...
pole dada angu ila hongera kwa moyo wa ujasiri mungu ni mwema,na katu mwanadamu hawezi kujigeuza mungu hayo wanayafanya ni ya muda tu ila mwisho wake upo tu km ilivyokua kwa goliati.tunakuombea sana kwa mungu atakufanikishia kila jambo.LEON LEE
May 1, 2013 at 3:01 PM
Anonymous Anonymous said...
Najua wengi watakushangaa na kukusema lakini kitu nilichopenda umekuwa mkweli kwa nafsi yako hilo ndo la muhimu,nafsi kuwa huru ni kitu kizuri ,nakupenda na utashinda 
May 1, 2013 at 3:02 PM
Anonymous Anonymous said...
Duuuu, kweli umeamuwa. Ngoja nipite mie. Ya ngoswe mwachie ngoswe.
May 1, 2013 at 3:02 PM
Anonymous Kokuikana said...
You said it all baby girl! Ujiandae vizuri kwenye shoo yako mama wasije wakasabotage, jiandae mambo kama generator manake hawachelewi kuwapa hela Tanesco wakakukatia umeme! Tuko nyuma yako mamii, I can't wait! Manake nakumbuka kwenye uzinduzi wa album ya wanaume kama mabinti tulijaaje pale Tulip..! Tuliimba na kucheza! We sema tu jinsi ya kuipata album yako na tiketi zitapatikana wapi! God is with u! Hao watu ni matajiri wa hela lakini ni masikini wa Roho Mungu awasamehe!
May 1, 2013 at 3:03 PM
Anonymous Anonymous said...
Hukubaniwa wewe tuu tena unabahati za kwako zilipigwa! Kuna msanii hadi leo ulianza naye hakupigwa. Clouds Fm ilimtengeneza msanii huyu na kumbania wenyewe. Fitina zao zilianzaga mapema tuu walibana msanii mwenzako wa kike Natasha Shyrose toka album yenu ya kwanza ya clouds. jamaa hawa walikataza times fm,radio one, wasipigie ila redio uhuru ndio walikua wakipiga nyimbo zake. Fitina zao wenzako walizionja mapema ila vipaji havizibwi na mtu maana kama usemavyo mungu akipanga binadamu hazibi. Kaza buti tumia redio nchi nyengine na hiyo yako tutasikia nyimbo zako achana na hao watu na chuki zao!
May 1, 2013 at 3:05 PM
Blogger Majoy said...
Hapana chezea anaconda....moto ni ule ule..alipangalo mola binadamu hawezi pangua. Mungu azidi kukubariki. 
May 1, 2013 at 3:06 PM
Anonymous ima the designer said...
Message sent nahakika wameshaipata hata wafanye nn uko juu na utaendelea kuwa juu coz wadau ndo tumeamua hivyo
May 1, 2013 at 3:07 PM
Anonymous Anonymous said...
Adui mwombee uzima ili ukifanikiwa ashuhudie mafanikio yako. Inshaallah Mungu atakusaidia mama yetu kaza kamba utashinda. Na binadamu ndo walivyo.
May 1, 2013 at 3:07 PM
Anonymous Anonymous said...
Mungu akusaidie upate mafanikio zaidi. Tupo nyuma yako mama.
May 1, 2013 at 3:07 PM
Anonymous titus said...
hii ndo wafu fm
May 1, 2013 at 3:20 PM
Anonymous Anonymous said...
Hongera binti machoz kwa kutoa ya moyon
May 1, 2013 at 3:21 PM
Anonymous Anonymous said...
Bad news for such a very had working young lady. Nonetheless kisheria hauwezi kuitwa wosia kama haujawekwa ktk wosia rasmi wa Lady Jaydee japo mimi mzee mzima Babu A nimeshtushwa na kusikitishwa. Wish u best of luck being one of ur fans.
May 1, 2013 at 3:22 PM
Anonymous Anonymous said...
dah!,machoz yananitoka kwa kweli!,nimeguswa sana,sababu ulihangaika sana kuckika kimuziki n then watu wanashndwa kufurahia mafaniko yako!,kha,Mungu yu pamoja na wewe,inawezekana hii pia ikawa sababu ya Gadner kuondoka pale.
May 1, 2013 at 3:24 PM
Anonymous Anonymous said...
POLE SANA .MRII au MUHESHIMIWA SUGU ALISHA YAONA HAYA YA HAWA JAMAA.
May 1, 2013 at 3:26 PM
Anonymous Anonymous said...
Afadhali umesema ukweli kuliko kukaa nao moyoni. Hawa wa2 wanajiona wamuhmu kumbe wameshashtukiwa zamani. Kweli Mungu ndiye mgawa riziki na cyo binadamu
May 1, 2013 at 3:27 PM
Anonymous Anonymous said...
Nilikuwa napenda kazi zako....ila hili linanifanya nikukubali zaidi na zaidi....I salute u keep it up I hp one day they wiLl let u free for good
May 1, 2013 at 3:34 PM
Anonymous Anonymous said...
umefunguka ila umesema ukuwa waz manake 2mekuwa 2naskia chinichini ila wewe umezkata mzizi wa fitina, clouds badilikeni lasivyo nanyi mtapotea, Jide usijali fans 2nakusapot. kukuoneshea hilo subiri trh 30 mei
May 1, 2013 at 3:39 PM
Anonymous Anonymous said...
Heri yako umeamua kujiepusha na UNAFIKI,wapo wasanii wengi sana wanakandamizwa na kina Ruge lakini hawathubutu kufungua midomo yao na huo ndio nauita UNAFIKI, kuliko kukaa kulalamika pembeni ni bora kufunguka na kutoa ukweli kama ulivyofanya wewe.,big up sana Jide..kama mbwai mbwai tu..kimeshanuka.
May 1, 2013 at 3:43 PM
Blogger Shagihilu said...
Sasa kile ambacho Sugu amekuwa akikipigia kelele labda sasa watz waneweza kuelewa
May 1, 2013 at 3:44 PM
Anonymous Anonymous said...
Kweli ubinadamu kazi, Kwanza hongera sana JIDE kwa kuwa na moyo wa kijasiri na kuvumilia kwa muda wote huwo, siku zote ukweli humuweka mtu huru tena huru kweli kweli"" kikubwa deal na mambo yako mtumainie MUNGU atakufikisha pale alipo kusudia ufike.
JIDE wewe sasa umekomaa kwenye hii industry ya music wa kibongo watete na kuwaonyesha njia hawa wanao kutegemea na kukuamini.

May 1, 2013 at 3:45 PM
Anonymous Anonymous said...
duuu!!!. kumbe ni masnich hao wafu fm!!. nilidhan sugu alikuwa na matatizo. leo ndo nimejua! sugu alikuwa right. na ndo maana sijawah kusikia ngoma za mapacha kugongwa. haina noumar binti machozi.
May 1, 2013 at 3:54 PM
Blogger Stallone Joyfully said...
I wish you could be my blood sister huna unafki hata kidogo
May 1, 2013 at 3:55 PM
Blogger lucius sanga said...
Hoa wasanii ita chukua mda xana kufunguka....
May 1, 2013 at 3:58 PM
Anonymous Anonymous said...
Lady J, pole xana kwa iloo ila ninachoamini Mungu pekee ndie mleta mafanikio kwa wanadamu na c ruge wala kusaga, keep on prayz na piga kazi. Potezea hao Hta wasanii walio nao wangekua na nyumba, ila kwasa7bu yao hadi leo wanalala kw wazazi wao. Malipo ni hapahapa dunia.. Kp wait
May 1, 2013 at 4:00 PM
Anonymous Anonymous said...
Hi hi hi.... Mi i like.... Watu wanabebwa ila talent haibebwi.... €%¥¤§$₹~[ zao
May 1, 2013 at 4:00 PM
Blogger lucius sanga said...
Pole xana bint machozi...

Bado hao wengine na wata kufa nasikini.....

May 1, 2013 at 4:06 PM
Blogger (c)2504 said...
Mimi binafsi nimefurahishwa na waraka huu kwaupande wakuonamsanii mkubwa kama Jide ameandika kuhusu hawa watu wa cloud,nimesikitishwa na vile hawa jamaa walivo katika industry hii ya muziki,kama ndivo hivi unadhani wasanii wetu watakuja kufikia level zakina Josee Chameleone zakuwa in top ten kwa wasanii matajiri wa afrika?duh!Kazi IPO sana kwenye industry hii!Ila mkikomaa wote kwa pamoja naamini mtashinda...
Best of lucky wasanii wa bongo!

May 1, 2013 at 4:07 PM
Blogger Godfrey Zenda said...
Big up cster kwa kuwapa makav laiv ukiwa hai,but mungu yu nawe utashinda tu
May 1, 2013 at 4:07 PM
Anonymous Anonymous said...
Lady Jay Dee (Judith), kisasi si kitu cha kuvaa moyoni. Nimeona wengi hapa wamekusifia kwa ujasiri lakini sijauona ujasiri huo. Ni kweli kuwa kuna wakati ulifurahia 'favor' za hao jamaa na bila kituo chao cha radio usingefika hapo ulipo, hilo ulipaswa kulisemea na kulitolea shukrani pia. Si nia yangu kusema kuwa clouds ni watu wema au wabaya, ila yawezekana kabisa mlikuwa marafiki na ikafika hatua urafiki ukavunjika. Kama wanakataza wasanii kuungana na wewe, nadhani hapo ni juu ya wasanii hao waliokatazwa kuamua ama kukubaliana nao au kuungana na wewe. Lugha ya usije kwenye msiba wangu huwa ni ya mzazi aliyekataliwa na mtoto, na sio ya mtoto aliyekataliwa na mzazi. Ni wazi kuwa mpaka unaandika hapa, ni kwamba kuna sehemu wakubana hadi imekuuma ndipo ukaja na wosia wako. Ulihitaji nasaha, za mtu mwungwana, mcha - Mungu. Huwezi toa lugha ya kisasi kisha ukasema tuone Mungu ni nani na binadamu ni nani. Mungu anajua unawaza nini hata kabla hujasema. Ulichopaswa kufanya ni kutafuta namna ya kuwasilisha ujumbe wako kwa wahusika bila kuchafua taswira yao kijamii. Dunia mzunguko, mnaweza kupatana siku moja kisha ukaja na wosia mpya hapa.
HILI JOTO HASIRA...............

May 1, 2013 at 4:08 PM
Anonymous Anonymous said...
Pamoja sana JIDE wr 2gether endelea kufanya vizuri mungu yupo atakusaidia wao hawajui kwamba ndo wanakupa nguvu zaid ya kufanikiwe "ili ufanikiwe unahitaji MARAFIKI na ili ufanikiwe zaidi unahitaji MAADUI pro J" every thng is possible under the sun
wishng u gd success

May 1, 2013 at 4:10 PM
Anonymous Anonymous said...
Mungu hamtupi mja wake ma sis, i love you.
Mungu mwema kakupigania all those days, atakuwa nawe dawa na kwakuonyesha kuwa yeye ni mkuu zaidi ya binadamu, atakufanya uwe juu zaidi.
nimependa da way u speak u heart, i love dat. 2po nyuma yako ma sister. GOD is always good n he loves you he wil fight 4u. BE BLESSED.

May 1, 2013 at 4:13 PM
Anonymous Anonymous said...
safi..nimependa umesema ya moyoni..na kama ni ukweli mtupu jua huko huru sasa...aliazna sugu sasa wewe....safi..wasanii wengine wasiache kusema pale wanapohisi wameonewa..
May 1, 2013 at 4:14 PM
Blogger Djackite iyabimpaye said...
Ati Dunia ina mambo, wanadamu nawo wana mambo zaidi,unyama wa aina hiyo,siyo kwamba wana mapepo wao ni mapepo kabisa! Pole sana superstar Mungu yupo ata kulinda. Voice from Bujumbura
May 1, 2013 at 4:19 PM
Anonymous Anonymous said...
U hv mr support frm ur fanc endelea kufanya vizur, JIDE kwnye industry ya music unaweza mama 
May 1, 2013 at 4:20 PM
Anonymous Anonymous said...
Mimi kiukweli niko upande wako Dada Jay Dee na ni mdau wako mkubwa tu, naukubali mziki wako na kazi zako pia. Najua wewe ni mkristo kitendo ulichofanya si cha kiimani kama ulivyosema Mungu ndo mpaji na muandaaji wa kila kitu chetu si vyema ukampangia Mungu adhabu ya kuwapa hao wabaya wako. KAULI NI NZITO SANA, Mungu anamipango yake siku zote, mimi napenda nikwambie tu kuwa bora ufute kauli hiyo kwani kwa tamaduni zetu hilo ni kosa hata kiimani pia. swali: jE! WABAYA ZAKO WAKIOMBA MSAMAHA KWA MUNGU WAO, WEWE UTAKUWA KATIKA FUNGU GANI? Hiyo ni kama kufuru. biblia inasema samehe 7 * 70 yatupasa tumwachie Mungu yeye ndo muamuzi wa yote! Ni mawazo yangu tu!
May 1, 2013 at 4:21 PM
Anonymous Anonymous said...
Sms sent and delivery,haijapungua kitu hapo dada jay dee.
May 1, 2013 at 4:21 PM
Anonymous Anonymous said...
unapapatika kama kuku aliyekatwa shingo, unachokifanya ni mchezo mchafu, kwa kuwachafua watu ili kuipigia promo show yako, ww na mume wako Gadna wote hamtumii comon sense inabidi mjipange, unafikiri tumesahau wasanii walioondoka kwenye bendi yako walichokua wanasema? ulikua ukiwanyanyasa na ujira wao ulikua mdogo na baada ya kazi huwapi, mpaka wengine wakakimbilia SKY LIGHT BAND, kila siku unawatukana watoto wa kiume utafkr umewazaa ww, nani asiyekujua LADY JAY DEE kwa kuvimba? dunia ndo inakupiga sasa, ww umepata stress baada ya kukimbiwa na wasanii, wenzako wanatafuta maslahi hapa town hawajaja kuuza sura, au kukushobokea wewe kwasababi Star, Salary ndo mpango mzima, ni mara ngapi umeanzisha ugomvi mbele ya wateja pale nyumbani lounge? Wateja wamekimbia pia kwasababu huduma zinazotolewa ni hafifu hazilingani na pesa wanayotoa, face changamoto zako na si kuchafua watu, unawasema watu JE USHAHIDI UKO WAPI? hzo big up za twitter na facebook ndo zinakupa kichwa? wao wenyewe hawajielewi wadananda tu, Ulipewa promo la nguvu miaka kibao, tena mume wako ndo alikua anapiga links mwenyewe kwenye jahazi na top 20, hakuna msanii wa kike aliyepata promo zaidi yako, kwani kina Stara Thomas walikua hawawezi? lakin ulibebwa ww, wao sasa ndo walalamike, cha muhimu Bi dada badilisha Life Style la sivyo utakufa kwa msongo wa mawazo, kama si ajali ya gari basi unaweza hata kujiua, au presha
May 1, 2013 at 4:27 PM
Anonymous Anonymous said...
aisee pole, kweli dunia ina mambo,, mtegemee mungu na ndiye atakupigania tu..
May 1, 2013 at 4:29 PM
Anonymous Anonymous said...
Dah! So hot my dear dada pole sana bt naamini mungu yu pamoja nawe ndio maana leo uko hapa na waambie kabisa sio bint machozi tena kama walivyo zani bt NIKOMANDO na mungu yuko upande wetu Nakupenda sana dada jide yute hayo ni mapito tu ila hukumu yao yaja ni hapa hapa duniani tena kabla hata hujanyamaza utashuhudia kwa macho yako ndio utakufa. Kazi ni nzuri inajionyesha na kujiuza yenyewe wao hata hawata kaa wahusike ktk maisha yako kamwe kwanza uliwasaidia sana hata kufanya nao kazi enzi hiyo sasa yatosha. Inaumiza kwa mtu yeyeto aliye na nyongo ila imefika mahali wasanii waige mfano wako wajiamini. My dada mungu hato kuacha uangamia keep it up n' may god bless you 
May 1, 2013 at 4:30 PM
Anonymous Anonymous said...
aisee pole, kweli dunia ina mambo,, mtegemee mungu na ndiye atakupigania tu..
May 1, 2013 at 4:30 PM
Blogger Mganda Malogo said...
duuuu????
May 1, 2013 at 4:40 PM
Anonymous Ema said...
kila kitu kina mwisho, hata wao wana mwisho, jst don't quit sister.
May 1, 2013 at 4:44 PM
Anonymous Anonymous said...
Walkuepo ma monopoly wakubwa dunian lakn ulfka mwsho wao kutokana na changamoto na watu kuchoshwa na unyonyaj uliokthir clouds fm hasa wamilk wen mnaojiita mmemilk gem la bongo kama hawala zenu mwsho wenu unakuja na nyny wasanii ma hopless mnaoimba unity ilkufurahsha nafc zenu mtanyonywa had hela za kod mwshowe mrud vjjn kwenu mkalime wapuuz nyie mwenzako akinyolewa zako tia maj! Nyie wenye dhiki za kipuuz ndo mnaangusha misimamo ya wenzenu big up anaconda eb onesha kua ww ni nan katika gem la mzk wa bongo wanaokuja nao wapte ktk njia ilo pevushwa.social networks kbao saiv haina haja ya kukumbatia uovu ulojfcha kwenye sura zenye picha za ukomboz.saut itackika kote kama mama shujaa mwenye mcimamo yakinifu tupo pa1 
May 1, 2013 at 4:45 PM
Anonymous Anonymous said...
aisee pole sana jide,, mtegemee mungu atakupigania tu..
May 1, 2013 at 4:47 PM
Anonymous Anonymous said...
Pole mumie, japo watu hao wanajifanya ni sikio la kufa. Umoja ni nguvu nyie unganeni mtengeneze team kubwa ya kuokoa kizazi cha muzik wa sasa. Mkianzisha nyie wakongwe, hata wachanga watafuata na itakuwa fundisho kwa media zingine
May 1, 2013 at 4:47 PM
Anonymous happier said...
Imeandikwa amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kama kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu, Wewe ni zaidi ya hao, tena una utajiri mkubwa kuliko wao(Utajiri wa AMANI),mimi nasema hautakufa kwanza wataanza wao ili wakaungue kwenye huu moto wanaouwasha hapa duniani dhidi ya wanyonge.
Tupa kule, songa mbele na tuko pamoja sanaaa mama yangu.Mungu aibariki kazi yako milele hata milele

May 1, 2013 at 4:55 PM
Blogger Geo Gambi said...
baada ya SUGU then ni wewe,wa2 wanachoka sijui hao wengine ni vp wanakaa kimya
May 1, 2013 at 4:58 PM
Anonymous Lumano Gasper said...
Hey mum jidee fanya yako bhana izo ni changamoto tu za maisha ..,unapendwa na utaendelea kupendwa..,wakuchukiao shauri yao..,FANYA YA BINAMU...,kama ivi ....."usiache kuongea aaaa ongeeni mnavyoweza kila mnapoongeaaa sifa zina ongezeaka...." WE ALL LIVE IN DIFFERENT LIFE NO MATTER WHERE WE ARE WE HAVE TO BELIEVE IN GOD ALWAYS AND FOREVER....,& ALWAYS CHALLENGE MAKE PERFECT..,naipenda sana hii misemo ..,if u like
May 1, 2013 at 4:59 PM
Anonymous Anonymous said...
pole my sis...as long as watanzania wote wanakukubali except hao mbuzi wawili#no problem.......we love u jide
May 1, 2013 at 5:04 PM
Anonymous Anonymous said...
Kiukweli nimeguswa sana na hiki nilichokisoma halafu eti wanajiita redio ya watu what the hell they are just play with the people minds all in all God is with u tena nakuomba mwaka 2015 Ugombee ubunge ili roho zao mbaya ziwaume vinega hao
May 1, 2013 at 5:13 PM
Anonymous Anonymous said...
JIDE=HEROINE
U R AWESOME JIDE

May 1, 2013 at 5:14 PM
Blogger GRAYSON DONALD said...
Hongera kwa kukitoa kilicho moyoni mwako
Mtetezi wako yu HAI atakupigania

May 1, 2013 at 5:22 PM
Anonymous Anonymous said...
pole Jide na pia hongera sana dada komandoo, me ni fan wako mkubwa, naamini ipo siku hawa wa2 watapotea kwenye ramani hii, kwa kuwa maovu wanayoyafanya yanajulikana na watanzania na dunia nzima imeshajua kuwa hao ni wanyonyaji, dawa yao ni kuwachana hivyohivyo na kuzidi kusimama kikomando, kushikamana kwa wasanii ndo kutawapoteza, u have all the support from tanzanians,,
May 1, 2013 at 5:23 PM
Anonymous Anonymous said...
Hongera sana Jide kwa kuwa muwazi..hadi machozi yamenitoka...simama katika Mungu wako na endelea kutekeleza majukumu yako
May 1, 2013 at 5:28 PM
Blogger wise monica kaaya said...
Pole sana na hongera kwakuwa na ujacri mkubwa Mungu azidi kukupa ujasiri zaidi uyo Ruge na Kusaga malipo yao yapo hapahapa na hawawezi kukunyima wala kuziba riziki aliyo kupa Mungu wanyonyaji wakubwa I so sad about dat :((siku yao itafika tu 
May 1, 2013 at 5:31 PM
Anonymous Anonymous said...
You just made your point very clear madam.very clear!
May 1, 2013 at 5:39 PM
Anonymous Anonymous said...
Kp it up we love ya music
May 1, 2013 at 5:48 PM
Anonymous flora said...
jide my dear,jipe moyo usimwogope binadamu hongera sana kwa ujasiri wako
May 1, 2013 at 5:48 PM
Blogger Christian Biseko said...
pole sana dada,,,nwachie mungu
May 1, 2013 at 5:52 PM
Anonymous Anonymous said...
yani kwa watanzania walio wengi hili la dada j mnaliona jipya but sisi watoto wa mjini mbona hawa mbururu tunawajua sana....sio jd tu wasanii wengi wamelia sababu ya hii radio,wamepoteza ndoto nyingi tu za watu na machozi ya watoto wa watu ni laana kubwa kwao na familia zao...huyo ruge ndio shetani kabisaaaa akiongea unaweza kudhani nimalaika kumbe nyoka tena mwenyesumu kali anajifanya mtalatibuuuuu kumbe msenge tu na ukimwi wake kwani uongooooo.dawa zakuongeza siku hazisaidii if ndani y roho yaho umejaza chuki na inafki.q chila yuko wapi? au mnajifanya watanzania hamfahamu? diamond anamzidi nini q? maskini q ameangaika saaaaana na kipaji chake nikikubwa saaana wamekiteketeza leo hii wanajifanya wanataka kumfufua..duh kweli ubinaadam kazi, vumilia wa THT yuko wapi nakipaji chake? wamempotezea future kabisa mtoto wa watu....list ni ndefu wacha niishie hapo pls jd naomba kama kweli unataka tuliongelee hili kwa uwazi ruhusu post yangu tunataka kuwafungua watanzania wajue uozo huu... tumechokaaaaaa watangazaji mashoga na wasagaji basi isiwe sababu yakushindwa kua real mbona ata ulaya na marekani wasenge ndio wako smart zaidi au hawa wakwetu wananini?kha;;;
May 1, 2013 at 5:52 PM
Anonymous Anonymous said...
Nitakua naingia show zako na kununua kazi zako nakala halisi...
May 1, 2013 at 5:53 PM
Anonymous Anonymous said...
Kuwa makini Jide wasikuuwe,make watu kuwambiwa ukweli hawataka,ukifa ghafula tutajua ni wao,mungu yupo pamoja na we,
May 1, 2013 at 5:53 PM
Anonymous Anonymous said...
Wengine wengi tu wataongea kwani kila jambo na wakati wake............! What's up Profesa J?! Afande Sele,Nature,Ay na wengineo???? Wafu watawafulisheni and it's gonna be too late for u guys! Come on the time is now for change! What are you waiting for???? Fungukeni sio kukaa kimya mnashindwa hata na demu.
May 1, 2013 at 6:00 PM
Anonymous Anonymous said...
you are one special lady in the music industry in tanzania and i pray you become the next bi kidude...these two mofock shouldn't give you a headache at all..you are successful,keep up the hard work...ruge and kussaga think they can own all successful and unsuccessful women in tanzania but they are very wrong,they are born and raise d stupid and their stupidity will never change,the good thing is..alot of tanzanians have realized their level of stupidity and believe me you,that is the end of their success...we do not accept them in the society,we pity them and are fully ashamed of their scum activities in this nation.
Jide,keep up the good work,we(as few as we are many)will support you...wachana na njaro za mabulula...

May 1, 2013 at 6:16 PM
Anonymous Anonymous said...
Kwan who is ruge or kusaga by the way?kwan nao c ni binadam km wengine au pua zao zimetizama chini? Ckiliza dada angu ww komaa mungu yu pamoja naw daima hata wakifanyaje km rizik ipo ipo tu. Bahat ya mwenzio huwez kuiziba hata ungekuwa na uwezo wa kumiliki ndege.miw nakutakia kila her liwe naww.
May 1, 2013 at 6:21 PM
Anonymous Anonymous said...
I wish ningesema kuweni kitu kimoja na mkanielewa sema kuna wenzenu ni waoga wa maisha!!! Umenza jd will be waiting kuona nani anakuja after you na hii historical movement of which mkiwa sawa mtashinda na heshima itarudi!!
May 1, 2013 at 6:22 PM
Blogger Hermes Power said...
Keep The Good Music Alive, Better Clouds should look at what they are doing.
May 1, 2013 at 6:24 PM
Anonymous Anonymous said...
THE RIGHT THING AT THE WRONG TIME IS THE WRONG THING. JIDE KWANN ULIKAA KIMYA WAKATI WA HARAKATI ZA ANTIVIRUS?KINA SUGU WALIPIGANIA SANAA LKN HAPA WW UNAPIGANIA NAFSI YAKO. ULIWAHI KUWA KWENYE MAHUSIANO NA RUGE,JOE MNATOKA MKOA MMOJA,WOSIA UMEKAA KIMAFUMBO,STORY IMEBALANCE UPANDE MMOJA....NGOJA TUSUBIRI WAGEUKE. 
May 1, 2013 at 6:30 PM
Anonymous Anonymous said...
...Pole sana JIDE! Pambana, jipange, jiamini, jipe moyo...; na jiweke huru kwenye biashara kuna mbinu za kibishara (za competitive intelligence) ambazo hutumiwa na baadhi ya wafanyabishara wenye roho mbaya (kama za hao wasiyokutakia mema). Tumia muda wako mwingi kufanya sanaa yenye ubinifu mwingi na jitume ufanye kazi bora na yenye mvuto kwa soko lako. Fanya kila kitu kwa kumtegemea Mungu...na Yeye (Mungu) Atakupa ulinzi wake; na hao maadui wenye sumu ya nyoka utawashinda kwa uwezo wa Mungu. Usikate tamaa, pambana "Komandoo JIDE."
May 1, 2013 at 6:35 PM
Anonymous Anonymous said...
Clouds meadia employees are bunch of puppets,holding tight to their bosses nuts.
It's about time someone is strong enough to tell the truth.RUGE,JOE,ya'll homos.

May 1, 2013 at 6:50 PM
Anonymous Anonymous said...
jay dee sijawahi kukusikia ukiwa na ugomvi na ma beef ya ovyo ovyo kama ma star wengine hili ulilosema leo inaonekana limekukela mda mrefu,na pole sana kwa mitihani ya walimwengu ndivyo tulivyo,mtegemee Mungu wako atazidi kukupaisha na tunazidi kukupenda.
May 1, 2013 at 6:59 PM
Anonymous Anonymous said...
Jide! Hongera kwa kuwa mkweli..pambana tu, juu vile mungu hapokei rushwa hao wanyang`anyi hawataweza kuzimisha nyota yako..wapi babu S?! Je wanamfahamu lakini na yuko wapi sasa..raha ya maisha ni kufurahi na watu is kuwapiga vita..Ruge and your ..just be optimistic
May 1, 2013 at 7:07 PM
Blogger Pascal said...
Kwa maneno yako dada JD basi nadhani hao jamaa watachapika vibaya mno na hicho kiredio kitakufa muda si mrefu. Ukatili wao na rushwa zilishafika mwisho! Wito kwa wasanii, muungane ili kuwezesha maslahi yenu, wasije ibuka tena wanyonyaji na katili kama hawa jamaa wanaoelekea kwenye kuporomoka kwenye umasikini wa kujutia.
May 1, 2013 at 7:22 PM
Anonymous HUSSEIN SAED MWINYI said...
Dah ama kweli ukweli unaishi uongo utakufa, hakuna kitu kizuri kama mtu kusema yalo moyoni bila kuficha ficha,hii ni kuonyesha ni jinsi gani waweza simamia haki yako kiukweli kila mtu anafanya kazi kwa bidii ili ajipatie kipato na iwapo ikatokea mtu akataka kukatisha kile kipato chako wallahi si mtu mwema na mie nasema dada jide kuwa nothing NOTHING LAST FOR EVER iko siku watakuangukia wakuombe radhi kwa fitina zao za kutaka kukupoteza kisaniii
May 1, 2013 at 7:40 PM
Anonymous Anonymous said...
Kama unapita kuna haja gani ya kuandika? Si ungesoma kisha ukae kimya. 
May 1, 2013 at 7:53 PM
Anonymous Anonymous said...
pole sista kubwa, wewe ni mtu mwingine kabisa ktk tasnia ya mziki bongo, achana na fisadis hao na kubwa ushawapa watajibeba. hatukuombei utangulie mbele za haki but ikitokea mawe yatarushwa kwao home hadi mjengoni!!! pumbavu zao. songa mbele dada tupo pamoja, we salute you, and no one above u in music bongoland....
May 1, 2013 at 7:56 PM
Anonymous Anonymous said...
HAO NDO MATAJIRI WA MALI MASIKINI WA ROHO . JIDE UISHI MIAKA MIA NA KAULI YAKO IBEBWE MPAKA UTIWE MCHANGANI

MIE SHOGA ANGU ALISEMA MUMEWE ASILIBEBE JENEZA HATA KAMA WALIZAA .
HAKULIGUSA CHEZEA SIE

ALIFUKUZWA KAA MWIZI HAKUSOGEA
KAULI YA JIDE TUISIKIZE
TUTALIBEBA SIE KAMA TUPO WAO MARFUKU MFYUUUU

May 1, 2013 at 8:00 PM
Anonymous Anonymous said...
TENA USIWASAMEHE MAANA WATAKUONA MJINGA NA KUZIDI KUKUCHAFULI DADA ANGU
May 1, 2013 at 8:03 PM
Anonymous Anonymous said...
JD,now umeongea... Sugu was right,Sugu hakutaka unafki,yeye mapeeeema aliwawashia moto via Ant Virus. Wewe umetumia Blogs..hao jamaa hawafai,hata Watangazaji wao wanawafanyia the same,Hawataki wapate...
Nyie Wakongwe wa Music yaan ww,Sugu,Prof J, Nature jipangeni mfanye kazi... Trust mpo juu.
Tupo nyuma yako.. Jide Moto chini,Sugu Moto chini.
Wasanii wengine acheni kuwaabudu hao jamaa, THT ni chombo chakuwanyonya, Wake UP upcoming artist.
Salute kwako JIDE na SUGU.Mnaweza mkawaokoa wasanii wachanga kwa Maneno yenu.

May 1, 2013 at 8:09 PM
Anonymous Anonymous said...
Da judith wambura a k a ANACONDA pole da yng .....hata sugu alipitia huko ila hakufa nalo moyoni aliwapa ukweli hao wanaojita the peoplez station ....bora naww umeliweka hadharani .....talent haibebwi......
May 1, 2013 at 8:12 PM
Anonymous Rehema said...
Mungu siku zote yuko kwenye haki, Mtangulize Mungu kwa kila jambo, fanya kazi kwa bidii, watanzania wanaelewa sana. Huwezi shindwa kufanya maendeleo eti kwa sababu ya watu 2, hiyo ni mwiko, watanzania wanakupenda na ndo maana hadi leo wanakusupport. Big up uliko toka ni mbali hadi hapo ulipofikia.
May 1, 2013 at 8:20 PM
Anonymous Anonymous said...
Alooo god be with ya al d tym stay put god wl alwayz
May 1, 2013 at 8:30 PM
Blogger Disminder orig baby said...
Mti wenye Matunda!!!

Sema kweli mamy.
Wanawake ndiyo zaidi kuonewa.
Wakutawale lkn na rushwa za Ng... ndo mwanzo.

Jide mbali nakuwa nakupenda!!!
Nakubali sauti yako.
Mara yangu ya kwanza kusikia sauti yako live!!
Bila mic wala chenga!!! Sultan Palace
Nilikuinulia mikono juuuuuuu.

Ukiwa ktk steji kuna vingi vikorombwezo.
Wape kitu kavu kavu watu wasokujua.

Tumia kipaj na Mungu yuko nawe.

May 1, 2013 at 8:33 PM
Anonymous Anonymous said...
helping someone that is divine opportunity given by GOD if you deny GOD will rise another one!!......
all the best sister MUNGU yupo pamoja nawe na sisi tupo pamoja nawe tunakupenda sana

May 1, 2013 at 8:45 PM
Anonymous Anonymous said...
Kuna siku niliwaza sana, Judith Wambura ni msanii mmoja tu aliyeamua kusema juu ya ufisadi wa radio ya watu! Sugu hakuwa mwehu kuendesha vita ya Anti virus! Kuna jambo napenda wasanii walifanye.
May 1, 2013 at 8:54 PM
Anonymous Safina said...
Pole sana dadangu Mungu ndiye mgawa riziki wala usihofu kama ameweza kukupigania toka umezaliwa hadi leo umefikia hapo ulipo na umekuwa star mkubwa ndani na nje ya nchi why akuache leo??? Kaza moyo my dear Mungu atakuonyesha njia na kuzidi kufungua milango ya heri
May 1, 2013 at 9:01 PM
Anonymous Anonymous said...
ucjali ajikwezae atashushwa na ajishushae atakwezwa amini kwa uwezo wa mola utasimama na utasikika tu kwani binadamu ni nani hata akuzuie riziki yako? ushauri wasamee Mungu yu pamoja nawe na atakushindia
May 1, 2013 at 9:06 PM
Blogger Preti Joseph said...
Umejitahidi sana kuvumilia. Una kila haki ya kusema,miaka 10 iliyopita unaumia na jambo hilo. Ukitaraji yataisha salama,kwanza cjawahi kukusikia ukiongea juu ya jambo lako. Hakika hili limekuumiza,pole. Mungu yupo nawe usijali. Hawawezi kuliziba jua kwa ungo...
May 1, 2013 at 9:06 PM
Blogger Preti Joseph said...
Umejitahidi sana kuvumilia. Una kila haki ya kusema,miaka 10 iliyopita unaumia na jambo hilo. Ukitaraji yataisha salama,kwanza cjawahi kukusikia ukiongea juu ya jambo lako. Hakika hili limekuumiza,pole. Mungu yupo nawe usijali. Hawawezi kuliziba jua kwa ungo..