Blogger Widgets

February 3, 2014

Picha ya Aibu Aliyoweka Mtangazaji Loveness Love wa Clouds FM na Kupata Diss Kibao


Baada ya mtangazaji wa clouds FM Loveness Malinzi (Diva) kuweka picha isiyokuwa na maadili mtandaoni, mashabiki wake wachukia na kuanza kumpa makavu laivu na matusi kwa kitendo alichokifanya mwanadada huyu mwenye sauti ya mitego
Hii ndiyo picha aliyoiweka mtandaonihttp://distilleryimage3.ak.instagram.com/f091a3de8af911e3bf660ec7bb27c1e3_8.jpg