Blogger Widgets

September 17, 2012

Hizi Ndio Picha Za Utupu alizopigwa Nora pamoja na Picha za Aisha Madinda pembeni kukisadikiwa kuwa na Madawa ya KulevyaSHUHUDIA

 NORA WA BONGO MOVIE
Yanayotokea  katika sanaa ya muziki na maigizo hapa nchini  hayajaanza leo.Ni  uchafu wa  muda  mrefu  sana.....

Uchafu huu umekuwa  ukiendelea  kuichafua jamii kutokana na  ukimya  wa  serikari .........
NORA WA BONGO MOVIE

Sisi  hatutalifumbia macho.Tututaendelea  kuwaanika mpaka  hapowatakapo badilika........

Dalili  zinaonesha  kuwa  angalau, matukio haya  ya  kupiga  pcha za  utupu  yamepungua kwa  kiasi fulani......

Kama unakumbukumbu  nzuri, Nora ni miongonimwa  wasanii wakongwe hapa nchini.Baada ya umaarufu kuzidi,  msanii huyu naye  aliamua kupigapicha  za  utupukama  ilivyo kwa wasanii wengine kama  akina wema sepetu.......

Picha  hizo zilitoka  sambamba na  picha  za aibu za Aisha Madinda alizopiga akiwa Afrika Kusini.......

AISHA  MADINDA
Tunaamini kwamba matukio wanayofanya  dada  zetu hayakubaliki kisheria....Hivyo  tunatoa ushauri kwa  dada zetu kuachana na vitendo hivi   viovu  ambavyo havina  tija  hata kidogo.......


Ni  vyema wakakumbuka kuwa waoni vioo vya  jamii,hivyo wanapaswa kuwa  mfano  wa  kuigwa

No comments:

Post a Comment