Blogger Widgets

May 28, 2013

Soma Kisa na Chanzo Cha Kifo cha Msanii Albert Mangwea Kwa Mujibu wa Mtoa Report Aliekuwa South Africa

 
 Msanii wa Bongo Fleva Albert Mangwair a.k.a Ngwair amefariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini.
Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
May God give you peace brother.