Blogger Widgets

June 3, 2013

Huu Hapa Mchango waliowasilisha Wasanii wa Arusha Kwenye Msiba wa Marehemu Albert Mangwea


      Jana jioni baadhi ya wasanii wote kutoka Arusha wakiongozwa na JCB walikutana wote na kupitisha michango yao kwa kila msanii wa hapo na kuiwakilisha kwa familia ya marehemu Albert Mangweha. 
Hata wewe unaweza kufanya hivyo kwa kutuma fedha zako kwa M-Pesa kwenda namba hii 0754 967738 


Wasanii wa Arusha wakiwa kwenye picha moja
From:DjChoka