Blogger Widgets

June 6, 2013

Huyu Ndio Dada Alievunja Record kwa Kuzimia Na Kupoteza Fahamu Wakati wa Kuuaga Mwili wa Albert Mangwea Morogoro Mpaka Wanaondoa Mwili Uwanjani na Kwenda Kuzika Alikuwa Bado Hajazinduka na Hakujulikana Jina Lake.
aliyepoteza fahamu akipatiwa huduma ya kwanza.
...Akizidi kupatiwa huduma.


...Akibebwa kwa huduma…


Mrembo aliyepoteza fahamu akipatiwa huduma ya kwanza.
...Akizidi kupatiwa huduma.
...Akibebwa kwa huduma zaidi.
...Akitolewa uwanjani.
Mwanadada huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja alipoteza fahamu baada ya kuuaga mwili wa msanii mahiri wa Muziki wa Kipya, Albert Kenneth Mangweha leo katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
From:  GPL