Blogger Widgets

June 7, 2013

Moja Ya Picha Ikionesha Mwili wa Aliyekuwa Mume wa Khadija Kopa Ukienda Kuzikwa Bagamoyo

 
Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi.
From:Audiface

No comments:

Post a Comment