Blogger Widgets

June 3, 2013

Picha Zikionesha Jinsi Profesa Jay na Lamar walivyokuwa Bega Bega Kwa Kumpokea Balozi wa Tanzania Africa Kusini Alipowasili Msibani kwa Marehemu Albert Mangwea

LIVE kutoka Mbezi Beach Dar es Salaam - Mh #RadhiaMsuya Balozi wa #Tanzania nchini #AfricaKusini atembelea nyumbani kwa wafiwa wa Albert Mangweha

LIVE kutoka Mbezi Beach Dar es Salaam - Mh #RadhiaMsuya Balozi wa #Tanzania nchini #AfricaKusini atembelea nyumbani kwa wafiwa wa Albert Mangweha
Mh #RadhiaMsuya balozi wa Tanzania Africa Kusini akizungumza na wasanii pamoja na wadau wa mziki mawili machache na baada ya hapo ameweza kuondoka kwenye eneo hili la msiba Mbezi Beach