Blogger Widgets

June 15, 2013

Ushahidi Jinsi Mwana FA Alivyoambulia Patupu Kwenye Show Yake Ya Usiku wa Kuamkia Leo

Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam. 


 
Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam. 

 
Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.

 
Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.


 
Asma Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama Zamani Ijumaa 14/6/2013