Check Picha 27 za Video Mpya Ya Dimond Platnum Inayoitwa "Number One" Iliyofanyika South Afrika
Diamond
anatarajia kutengeneza tena vichwa vya habari pale atakapoachia video
ya wimbo mpya ‘Number 1′ aliyoshoot mwezi huu nchini Afrika Kusini.
Video hiyo ambayo Diamond anasemekana kutumia zaidi ya shilingi milioni
50 kuikamilisha, imetengenezwa na kampuni ya Ogopa Videos ya nchini
Kenya. Hizi ni screenshots exclusive tulizozipata.
No comments:
Post a Comment