Blogger Widgets

August 17, 2013

Hatimaye Chris Brown Ahukumiwa Baada ya Kesi Yke ya Muda Mrefu ya Kumpiga Rihanna


Hatimaye muimbaji kutoka Marekani Chris Brown jana amehukumiwa upya kufanya kazi mbalimbali za kijamii ikiwa pamoja na kusafisha mazingira kwa mudaa wa wiki mbili na siku mbili .

Adhabu hiyo imetokana na kesi iliyokuwa inamakabili muimbaji huyo juu ya kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna .


Hukumu hiyo imetolewa jana na Jaji wa Los Angeles baada ya kuonekana kuna mapungufu mengi ya katika kazi alizotakiwa kufanya kulingana na 'probation' aliyokuwa nayo