Blogger Widgets

August 6, 2013

Picha Ikionesha Jinsi Mtangazaji Joyce Kilia Akionekana Kwenye Picha Kujiunga na Chadema Baada ya Mume wake Kushinda Kesi Iliyokuwa Inamkabili

Joyce akiwa amevaa gwanda za Chadema

"Mlionishauri kwamba Mume wangu Henry akitoka nimshauri aache siasa, naomba niwaambie kwamba nimem join Mume wangu kwenye Siasa. pipooooooooooz" Says Joyce Kiria