Blogger Widgets

August 24, 2013

Picha Zikionesha Jinsi Amini Na Linah walivyowasurprise Watu Jana Kwenye Fiesta Baada ya Kupigana Mabusu ya Kimahaba Jana Stejini

Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage. Tazama picha za namna mambo yalivyokwenda.
Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani katika show ya Serengeti fiesta 2013 Tabora ndani ya uwanja wa Aly Hassan mwinyi.
Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani

Amini na Linah
Amini na Linah

Amini

Amini

No comments:

Post a Comment