Blogger Widgets

August 27, 2013

Tazama Hizi Picha Jinsi Bar Ya Samaki Samaki Ilivyoshika Moto na Kuungua Kabisa

Kiota maarufu cha starehe jijini Dar es Salaam cha Samaki Samaki tawi la Mbezi – Makonde jijini Dar es Salaam leo kimeteketea kwa moto. Moto huo ambao bado haijafahamika umetokana na nini umeteketekeza kila kitu kwenye mgahawa huo.
Samaki Samaki ikiteketekea kwa moto

Bar ya Samaki samaki iliyopo maeneo ya Mbezi beach