Blogger Widgets

September 11, 2013

Check Sasa Picha Ikionesha Collable Inayokuja ya Ray C na Ommy Dimpoz.EXCLUSIVE PICTURES


 
Staa wa Ngoma ya Tupogo,Omary Nyembo,‘Ommy Dimpoz’na nguli wa muziki wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila‘Ray C’wanatarajia kuachia ngoma yao? baada ya kupiga picha pamoja.

 
Ommy Dimpoz alipost picha hicha hiyo kupitia mtandao wa instagram huku akiandika Studio Flowwww wit the Legendary her self ...Kiuno bila Mfupa...Huku mashabiki wao wakisema kuwa… haya madimpoziii poz na kiuno bila kidari..