Blogger Widgets

October 31, 2013

Habari Njema Juu ya Rnb Star Kutoka Tanzania Rama Dee Na Mke Wake ambaye ni Mzungu


Rnb Star Kutoka Tanzania Rama Dee Na Mke Wake Wanategemea Mtoto Wa Pili kwa mujibu wa post ya Rama Dee Leo Mchana.
Fahamu kuwa kwa sasa Star huyu wa Kama huwezi ft Lady Jay Dee anaishi Australia na Familia yake ila mara chache huwa anadondoka bongo kwa shughuli za muziki. Hongera Blaza

Mtoto wao wa kwanza ndio huyu anaitwa Abigail.