Blogger Widgets

October 29, 2013

Picha zikionesha Jinsi Master Duu wa Kenya wanavyojiaibisha Kwenye Car Wash Party

 
Asikwambie mtu hivi ndio party za kuosha magari huku wanawake wakiwa na bikini zinavyofanyika huko Uganda...kwa kizungu wanaziita Bikin Car Wash ...Hapa mambo yanayofanyika huwa ni aibu watoto kaaa mbali sanaaaa....kama unavyojionea kwenye picha ...Mdakuz unaonaje hapo? Bongo Je zipo hizo ?ama ndio zile Baikoko?