Blogger Widgets

October 20, 2013

Tazama Jinsi Ben Paul anavyomsapoti Ommy Dipoz Kwa Brand Yake ya PKPBaada ya kumaliza ziara yake nchini Marekani, Msanii Ommy Dimpoz amekuwa busy kutangaza brand yake ya PKP Kupitia mahojiano tofauti anayo pata. Hizi picha chache kutoka Instagram ya Dimpoz. PKP Itakuwa kampuni yenye bidha nyingi nz wasanii wa Na kusimamia kazi za sanaa na wasanii. Dimpoz ameniambia hataweza kuimba maisha yake yote so Pkp ni biashara yake wakati na baada ya kufanya muziki. Umeipenda Pkp ?
Picha Zaidi Hapa


From:Sammisago