Blogger Widgets

October 29, 2013

Tazama Range Rover Mpya Kabisa ya Irine Uwoya Pamoja na Tattoo Yake Ya Mkononi

STAA kunako tasnia ya filamu,Irene Uwoya ameuanika mkoko wake mpya Range Rover.
Kupitia mtandao wa instagram Uwoya alipost picha za gari hilo huku akiandika… I don't care… Watasubiri sanaaaa…. My bby.
Huku watu wakicoment kwa kumpongeza kuwa huwa anaongea kwa vitendo na siyo…
STAA kunako tasnia ya filamu,Irene Uwoya ameuanika mkoko wake mpya Range Rover.
Kupitia mtandao wa instagram Uwoya alipost picha za gari 
 
hilo huku akiandika… I don't care… Watasubiri sanaaaa…. 
My bby.

No comments:

Post a Comment